Thursday, 15 March 2012

Taarifa Muhimu

Habari zenu mabibi na mabwana.

Tunapenda kuwafahamisha kwamba blog yetu bado iko ktk matengenezo ambapo inategemewa kuzungumzia kadhia nyingi chini ya anuani mbalimbali kama vile Insurance za kiislam (Takaful), Islamic bond (Sukuk), Islamic finance, Islamic economy, mikopo na mengineyo. Kwahiyo tunaomba mtuwie radhi wakati tunafanya hayo marekibisho tutendelea kutoa maelezo yanayohusiana na bank za kiislam kwa ujumla na kama kuna maswali au maoni yoyote yanakaribishwa. Shukran

1 comment:

  1. mmtoto ya congo just testing your blog.

    ReplyDelete