Monday, 12 March 2012

Utangulizi

Habari zenu mabibi na mabwana

Tunawakaribisha ktk blog hii ambayo madhumuni yake ni kuzungumzia kadhia mbalimbali zinazohusu banki za kiislam. Blog itaanza kwa kuzungumzia utangulizi, historia fupi na jinsi banki ya kiislam inavyofanya kazi.

Malengo ya blog ni ;

1-Kutoa maelezo kuhusu kadhia mbalimbali zinazohusiana na banki ya kiislam.

2- Kujibu maswali yatakayojitokeza

3-kupokea maoni na kukabiliana na changamoto zitakazojitokeza

No comments:

Post a Comment