About Us


Sisi ni kundi la vijana wa ki-Tanzania ambao wana misingi mizuri ya masomo ya uchumi wa kiislam na ule usiokua wa kiislam, siasa, utumishi, biashara, sheria na maswala ya bank za kiislam.

Tunachokusudia ni kuzungumzia kadhia mbalimbali zinazohusu banki za kiislam, uchumi wa kiislam na yote yanayohusu fani hiyo kama vile bima ya kiislam, mikopo ya kiislam, jinsi ya kununua hisa kwa utaratibu wa kiislam na mengine mengi. Tumeona upo umuhimu mkubwa wa kufanya hivyo kutokana na uhakika kwamba bank za kiislam zinaongezeka kwa kasi kubwa sana na bado kuna wataalam wachache ktk fani hiyo.

Malengo ya blog ni kutoa maelezo kuhusu kadhia mbalimbali zinazohusiana na banki za kiislam, kutoa taarifa muhimu zinazohusu bank za kiislam kwa uhakika na haraka iwezekanavyo, Kujibu maswali yatakayojitokeza, kutoa ushauri, kupokea maoni na kukabliana na changamoto zitakazojitokeza.

5 comments:

 1. Shukran Jazillah! Mola awalipe kwa kazi yenu nzuri InshaAllah.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tunakushukuru kwa kuzibariki juhudi zetu hizo. Ispokua kushiriki kwako ndio mafanikio ya shughuli hii.

   Delete
 2. Mashaallah,allah awajalie kila la kheri

  ReplyDelete
 3. Allah awape kila la kheri kwa jitihada zenu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Atulipe sote In shaa Llah ispokua support yenu ni muhimu ktk kulifanikisha hili.

   Delete